Sunday, March 14, 2010

Oslo jana Jumamosi



Karl Johan, watu walikuwa wachache


Maneo ya Stesheni Kuu Oslo, kulikuwa kweupee!




Mchezo wa chemsha bongo "UBONGO"


Jana Jumamosi mhariri wa blogu amevinjari maeneo ya mjini Oslo. Kawaida huwa na watu wengi sana kwenye mtaa mkuu, Karl Johans, lakini jana Wanorweji wengi walikuwa kwenye michezo ya theluji ”skiing” maeneo ya Holmenkollen Oslo, kuangalia FIS Nordic World Cup, ambayo inaendelea na leo.

Kupitia duka moja la vitabu la Nota Bene, Gunerius nikaona mchezo wa chemsha bongo unaitwa UBONGO. Unafanana na ”Monoply”, ”Genoius” n.k. Umetoka Sweden. Unafaa kwa familia nzima. Bahati mbaya hauko kwa Kiswahili, upo kwenye Kinorwejiani, Kiswidi, Kifinnish na Kidenish.

No comments: