Wednesday, March 24, 2010

Oslo, Norway

Mabehewa 16 yatembea kilomita 8
hadi bandarini na kuua watatu



Leo saa 7 na robo mchana, mabehewa 16 yaliyokuwa yamesimama maeneo ya Alna, yaliaanza kuteleza yenyewe yakafikia kasi ya kilomita 100 kwa saa. Yalienda kasi kilomita 8 hadi Sjursøya, yakavunja ghala moja na kuua watu watatu, watu kadhaa wamejeruhiwa. Mtu mmoja hajulikani alipo.

Mpaka sasa haijulikani sababu za mabehewa hayo kuanza kuondoka yenyewe.

No comments: