Sunday, April 04, 2010

Lugha za asili vs. Kiswahili na matatizo ya kutafsiri

Kutafsiri au kukalimani lugha kuna kazi kubwa! Kama hapo chini hilo neno lina maana nyingine kabisa mkoani Singida. Ukilitafsiri kwa Kiswahili...taabu tupu!!!

Picha imepigwa na Ahmad Michuzi Junior wa blogu ya Jiachie.

No comments: