Ujumbe kwa Ray C
MUULIZENI RAY C,JE ALIPEWA PESA AU HAKUPEMA?MAANA TUNALOZUNGUMZIA NI PESA SIO VIZA.MAANA NAONA HAJUI MAMBO YA VIZA YANA TARATIBU GANI.
JE VIZA ALITUMIWA LINI NA ALIKWENDA LINI UBALOZINI?KWANI NINAVYOJUA VIZA ALITUMIWA FEBRUARY.MBONA WASANII WAKIGANDA WALITOKEZA KWA KUTUMIWA VIZA NA MAPROMOTER HAO HAO.ALIKUJA SUPER STAR CHAMILLIOEN KWA KUPITIA PROMOTER HUYO IWEJE YEYE ISHINDIKANE.
ANAJIFANYA KUWA HAJUI KAMA NINAHUSIKA.MBONA ALIONIOMBA NIMUUNGANISHE NA LORD EYEZ KTK SAFARI YAKE NA NIKATEKELEZA.HAKUJUA KUWA MIMI NAHUSIKA.MPAKA HAPO.
MBONA HAJAYASEMA YA MWANZO NILIPOMPIGIA SIMU NA KUMPA KAZI HIYO NA KUNISHUKURU.
KWA KUWA HAJAZIFANYA SHOW BASI ARUDISHE PESA.
HAYO MAELEZO YA VIZA NI UTUMBO MTUPU.WANGAPI WAMEINGIA ULAYA KWA VIZA AMBAZO WAMETOLEWA NA WATU AMBAO SIO MARAIA WA NCHI HIYO.YEYE NI MWALIKWA SISI TUNAO ALIKA NDO TUNAJUA MAANA YA VIZA.
HAPA HATUFANYI LIGI KINACHOTAKIWA ARUDISHE PESA NA KUWAOMBA MSAMAHA WASHABIKI WAKE NA MAPROMOTER
NIMEZITOA HABARI HIZI SIO KWAMBA NAMCHUKIA RAY C.HAPANA NAMJULISHA TU ASHITUKE NA TABIA AMBAYO SIO NZURI KWA KAZI YAKE ANAYOITEGEMEA KIMAISHA.
KWANI ALISHA WALIZA MAPROMOTER WA SWISS NA KUZAMA NA VIJISENTI. NA PIA HAKUTONEKANA KTK SHOW YA MISS EASTAFRICA SHENGEN.HOLLAND. ANAFIKIRI HAO WATU SIKU ZOTE WANAMSUBIRI HAONEKANI WATAENDELEA KUVUMILIA.
NAOMBA MUMRUDI NA HAYA AJIBU TUSIJE TUKAFIKA MBALI PASIPO NA SABABU.
HASSAN NG´ANZO,
TROMSØ
NORWAY.
HASSAN NG´ANZO,
TROMSØ
NORWAY.
1 comment:
Mi nadhani huyu msichana akitokea hapa Oslo tusiende kwenye show yake.Period.Ana dharau ,kiburi na Anatufanya zie mazobaaaa hatujui lolote.
Post a Comment