Friday, October 29, 2010

Antivirus for Apple


Kwa muda mrefu sasa, bidhaa za Apple zimekuwa zikisifika kwa kuwa na ngome imara ya kutoingiliwa na vïrusi na vidudu vya TEKNOHAMA. Lakini wajanja wengi duniani. Imeripotiwa na Panda Security kuwa kuna virusi na vidudu kama 5000 hivi vinavyoweza kuharibu iPhone, iPad na iPod. Panda Security tayari wameshatengeza antivirus za bidhaa za Apple.


No comments: