Sunday, October 31, 2010

Leo Jumapili, 31.Oktoba 2010 ni siku ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu iwe ni siku ya amani na utulivu nchini.
Kwa wewe Mtanzania uliyeko nchini, tumia haki yako n a kapige kura!

Lakini sisi  Watanzania tuishio ughaibuni kwa nini  tusiruhisiwe kupiga kura?




4 comments:

Mtambalike said...

CCM wanaogopa kukosa kura za Watanzania waishio nje ya nje ambazo zinaweza kuwaondoa madarakani. Hilo tu hakuna lingine

Anonymous said...

kwani watu wanje ya nchi wanavote?

Chama Cha Watanzania Oslo said...

Watanzania tulio nje hatuna haki ya kupiga kura.

Anonymous said...

Kweli kabisa kwa nini tusiruhusiwe? Tuna haki kama watanzania wengine wa Tanzania.