Leo Jumapili, 31.Oktoba 2010 ni siku ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu iwe ni siku ya amani na utulivu nchini.
Kwa wewe Mtanzania uliyeko nchini, tumia haki yako n a kapige kura!
Lakini sisi Watanzania tuishio ughaibuni kwa nini tusiruhisiwe kupiga kura?

4 comments:
CCM wanaogopa kukosa kura za Watanzania waishio nje ya nje ambazo zinaweza kuwaondoa madarakani. Hilo tu hakuna lingine
kwani watu wanje ya nchi wanavote?
Watanzania tulio nje hatuna haki ya kupiga kura.
Kweli kabisa kwa nini tusiruhusiwe? Tuna haki kama watanzania wengine wa Tanzania.
Post a Comment