Tuesday, November 30, 2010

Orijino komedi na kisa cha chips zege



Mtoto uleavyo ndivyo akuavyo na Orijino Komedi



Japan

Watanzania washikwa na madawa ya kulevya


Polisi wa Yokohama katika mkoa wa Kanagawa wametoa taarifa rasmi kuhusiana na taarifa za kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya . Wamesema kuwa wamewakamata watanzania wawili baada ya kuthibitika kuwa walimeza dawa za kulevya aina ya Heroin katika matumbo yao.Wakwanza aliyetajwa kuanguka kwenye mikono ya wajapani ni Machenga Machenga Ally mwenye umri wa miaka 33 na Ally Mohamed Husein (37) ambao wanadaiwa kumeza kilogram 1.3 za heroin zenye thamani ya fedha za Japani zipatazo Millioni 78 kulingana na Polisi wa mkoa wa Kanagawa. Yeni Millioni 78 ukitaka kujua kwa fedha ya Tanzania zidisha (78,000,000 x 17.1)



Polisi hao wa Mkoa wa Kanagawa walisema kuwa Watanzania hao walikamatwa jumanne iliyopita ya Nov.23 wakiwa na kapsuli 5 kila mmoja zikiwa na gramu 13 za heroin zikiwa nyuma ya gari walilokuwemo. Awali Machenga Ally alimeza Kapsuli( capsules) 25 zenye ukubwa unaofanana na huo na tarehe 24 siku ya jumatano walilazwa hospitalini ambapo Machenga Ally alivitoa kwa njia ya haja kubwa kapsuli 10 na Husein kapsuli 40 Polisi wamesema kuwa watuhumiwa hao ambao wamekiri makosa yao waliondoka Tanzania tarehe 19 Novemba siku ya Ijumaa na kuingia Japani Novemba 22. Kilichowaponza kulingana na maelezo ya Polisi ni kuwa wenyeji wao katika eneo walilofikia alitoa taarifa Polisi katika mkoa huo wa Kanagawa kuwa jamaa zake walikuwa wakilalamika kuwa wanaumwa sana tumbo jambo liliwatia mashaka, hatimaye kila kitu kikawa hadharani.



Orijino komedi na matatizo ya umeme Bongoland



L-R) Khloe Kardashian, Kourtney Kardashian and Kim Kardashian. (Jean Baptiste Lacroix/WireImage)

Kardashians face criticism for debit card

The reality-TV sisters try to distance themselves from a controversial product bearing their name. 'Predatory' fees

Related links

Kardashian Kard


Norway

Mauzo rasmi ya iPad yaanza leo


Mauzo rasmi ya iPad yanaanza rasmi leo hapa Norway. Na makisio ya bei za iPad kama yafuatavyo:

• iPad Wifi 16GB - NOK 3999,- 

• iPad Wifi 32GB - NOK 4999,- 

• iPad Wifi 64GB - NOK 5999,- 

• iPad Wifi+3G 16GB - NOK 4899,- 

• iPad Wifi+3G 32GB - NOK 5899,- 

• iPad Wifi+3G 64GB - NOK 6899,- 



Monday, November 29, 2010

Is China reading your e-mail?



Port Moresby Papua New Guinea

Mwanafunzi wa kiume abakwa
na wanawake 10


IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea  Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na kundi la wanawake.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 ambaye jina lake halikuwekwa hadharani, mkazi wa kijiji kimoja kilichopo nchini humo, amelazwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kubakwa na genge la wahuni wanawake 10.  

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Southern Highland, nchini humo, Teddy Tei, kijana huyo alikumbana na zahama hilo siku ya Ijumaa iliyopita wakati alipovamiwa na wanawake hao.

Kamanda huyo alieleza kuwa kijana huyo ambaye ni mwanafunzi wa shule ya sekondari iliyopo pembezoni mwa mji wa Mande, alikuwa kirejea nyumbani kutoka shule na kukumbana ana kadhia hiyo mbaya.

Wanawake hao wakiwa na visu walimshambulia kijana huyo kabla ya kupokezana kumbaka kwa zamu.

"Hii ni kesi tunayoifuatilia kwa ukaribu zaidi, tunawatafuta wanawake waliofanya unyama huu", alisema kamanda huyo wa polisi.

Taarifa ya polisi ilisema baada ya kumshambulia kwa visu, wanawake wanne kati yao walianza kumuingilia kijana huyo.Kamanda Tei aliongeza kuwa kijana huyo aliwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.

Kijana huyo anafanyiwa uchunguzi ili kujua kama ameambukizwa magonjwa ya zinaa au la.

"Ugonjwa wa Ukimwi ni tatizo kubwa hapa nchini, ninahofia baadhi ya wanawake waliombaka huenda wakawa ni waathirika", alisema Kamanda Tei na kuongeza;

"Nimekuwa nikiwaonya wanawake wawe waangalifu sasa inanibidi nianze kuwaonya na wanaume nao wawe waangalifu mitaani wasije wakabakwa". 
 
Hata hivyo, polisi bado wanaendelea na uchunguzi na haikuwekwa wazi ni sehemu ipi ambapo tukio hilo lilitokea kutokana na kijana huyo kupoteza fahamu na kutupwa eneo la mbali.

Wiki iliyopita binti mmoja nchini Australia alibakwa akiwa anarejea kutoka shuleni kaskazini magharibi mwa nchi hiyo na inadaiwa kuwa ameambukizwa ugonjwa wa Ukimwi.

Mwaka 2008 shirika  la UNICEF liliripoti kuwa nchi ya Papua New Guinea ni nchi inayoongoza kwa kuwa na kasi ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa ukiwamo Ukimwi.

Katika ripoti hiyo ilielezwa kuwa asilimia nane ya wanawake waliripotiwa kubakwa, lakini kuna idadi kubwa ya tatizo hilo ambalo limekuwa haliripotiwi katika vyombo husika.

Ripoti hiyo ilifafanua kuwa nusu ya wanawake wanaoripotiwa kubakwa ni wenye miaka chini ya 15 na asilimia 13 ni wadogo chini ya miaka saba.

Imeandaliwa na Herieth Makwetta kwa msaada wa Mtandao wa kompyuta

Sunday, November 28, 2010



Norway

In the grip of winter


Most of Norway is on the first Sunday in Advent in the solid grip of winter, with temperatures well below freezing, - but with not too much snow as yet.
However, there is a white cover most places, and we don't have to travel too far before the cross country skiing conditions are quite acceptable, and for alpine skiers most hills are already well prepared, much thanks to the artificial snow produced by the large "snow guns" installed in most hills nowadays.
Christmas markets are popping up everywhere and Advent concerts fill churches across the country.
And the shopping for food and gifts is well underway, with predictions of another spending record at the crowded malls this Christmas.
About the snow, - if we can trust the TV newscasts, it seems most of that white stuff has dropped off on the Continent and over the British Isles, resulting in long line-ups and ditched cars.
But then, there are still four weeks to go for those who wish for an even more White Christmas.


Friday, November 26, 2010

Norway inazizima kwa baridi
-     Majira kali ya theluji -

Toka kuanza kupimwa kwa halibaridi hapa Norway hakujawahi kuwa na baridi kali mwezi Novemba kama ya safari hii. Hapa Oslo halibaridi ni -100 C, mji kama wa Trondheim ni -150 C, Røros ni -200 C na kwenye kisiwa cha Svalbard ni -250 C.

Picha hii imechukuliwa kutoka kasakazini ya Norway. gari limekwama kwenye theluji. Ni mchana lakini kiza totoro!


Thursday, November 25, 2010

Magic and Murder



The killing of so-called child witches is a practice that continues in the African republic of Benin. While murder is of course illegal in the country, making the allegations of witchcraft that lead to the deaths of children is not. Changing the law is not something easily achieved in Benin where the belief in sorcery is all pervasive and often seen as fundamental to the country's heritage and national identity.


Charles Stratford and cameraman Fadi el-Benni with a disturbing report.

This episode of People & Power can be seen from Wednesday, November 24, 2010 at the following times GMT: Wednesday: 0630, 1230; Thursday: 0300, 1400, 1930; Friday: 0830; Saturday: 2030; Sunday: 0730;Monday: 1430; Tuesday: 0030.

Source: Al Jazeera

Oslo, Norway

Controversial state church
pastor resigns

Controversial Lutheran state shurch pastor Einar Gelius, pastor at the VÃ¥lerenga congregation in Oslo has resigned, following a week of specualtions that he might be fired by the diosese.
Gelius have several times over the past years been called before his bishops, criticised for his unconventional views of his own role as a pastor in the state church.
The situation came to a head a few weeks ago, when he published the book "Sex in the Bible" (Sex i Bibelen).
Oslo Bishop Kvarme said at the time that the book should never have been written. However, Gelius also received statements of support from people who felt it was important to bring up prejudices and taboos among Christians.
But it soon became clear that the conflict would be brought before a diosese meeting,  
Gelius was informed of this in a letter from Bishop Kvarme, according to public broadcaster NRK. The letter is also said to have mentioned earlier conflicts.
Earlier this week the pastor and his bishop met several times, and on Wednesday Pastor Gelius announced that he had resigned.
He said it had become impossible for him to continue "since his Bishop no longer wanted him".
Source: NRK/Norway Post


Many Norwegians experience ID abuse

Over the past two years 124,000 Norwegians have experienced that their identity has been abused by others. This is shown by a survey carried out by TNS Gallup for the Center for Information Security (Norsis).
- The main reason for this is Norwegians' naivety, says Norsis senior adviser Christian Meyer. He says that ID theft has been a growing problem internationally, and that has now also spread to Norway at an alarming rate.
- We are generally too naive and have a great faith that socciety will solve all our problems, Meyer says.
He says an increasing number of swindlers make use of the social media to find the information they need.
- For one thing we need a central register where one may check if an ID document has been reported stolen, Meyer says.
Source: NRK/Norway Post

Wednesday, November 24, 2010

Rais Jakaya Kikwete akitangaza baraza lake jipya la mawaziri




Baraza la jipya la mawaziri

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

President´s Office
The State House,
P.O.Box 9120,
Dar es Salaam
Tanzania

Telephone: 255-22-2114512, 2116539
Fax: 255-22-2113425


MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI



NA.

OFISI/WIZARA

WAZIRI

NAIBU WAZIRI

1.

Ofisi ya Rais




1.    WN – OR – Utawala Bora
Mathias Chikawe

2.    WN – OR – Mahusiano na Uratibu
Stephen Wassira

2.

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma



      Hawa Ghasia

3.

Ofisi ya Makamu wa Rais


1.    Muungano
Samia Suluhu

2.    Mazingira
Dr. Terezya Luoga Hovisa
  

4.

Ofisi ya Waziri Mkuu


1.     Sera, Uratibu na Bunge
William Lukuvi

2.     Uwekezaji na Uwezeshaji
Dr. Mary Nagu

5.

Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)


George Huruma Mkuchika

1.Aggrey Mwanri



2. Kassim Majaliwa

6.

Wizara ya Fedha


Mustapha Mkulo

1. Gregory Teu


2. Pereira Ame Silima

7.

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Shamsi Vuai Nahodha

1. Balozi Khamis Suedi Kagasheki

8.

Wizara ya Katiba na Sheria


Celina Kombani



9.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa



Bernard K. Membe

1.  Mahadhi Juma Mahadhi

10.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa


Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi

11.

Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi



Dr. Mathayo David Mathayo

1.  Benedict Ole Nangoro

12.

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia


Prof. Makame Mnyaa Mbarawa

1. Charles Kitwanga

13.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi


Prof. Anna Tibaijuka

Goodluck Ole Madeye

14.

Wizara ya Maliasili na Utalii




Ezekiel Maige

15.

Wizara ya Nishati na Madini




William Mganga Ngeleja

1. Adam Kigoma Malima

16.

Wizara ya Ujenzi




Dr. John Pombe Magufuli

1. Dr. Harrison Mwakyembe



17.

Wizara ya Uchukuzi




Omari Nundu

1. Athumani Mfutakamba

18.

Wizara ya Viwanda na Biashara




Dr. Cyril Chami

Lazaro Nyalandu

19.

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi



Dr. Shukuru Kawambwa

1. Philipo Mulugo

20.

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii




Dr. Haji Hussein Mpanda

1. Dr. Lucy Nkya

21.

Wizara ya Kazi na Ajira




Gaudensia Kabaka

Makongoro Mahanga

22.

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto




Sophia Simba

Umi Ali Mwalimu

23.

Wizara ya Habari, Vijana na Michezo




Emmanuel John Nchimbi

1. Dr. Fenella Mukangara

24.

Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki


Samuel John Sitta





1. Dr. Abdallah Juma Abdallah

25.

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika




Prof. Jumanne Maghembe

1. Christopher Chiza

26.

Wizara ya Maji




Prof. Mark James Mwandosya

Eng. Gerson Lwinge