Friday, November 12, 2010

Norway

E.Coli  bacteria imeibuka!



Wiki hii, watoto watatu wameshikwa na e.coli hapa mashariki ya Norway. Hali za watoto hao si mbaya mpaka sasa, lakini bado wamelazwa hospitali. Wataalamu wanajaribu kutafuta chanzo cha bakteria hawa, lakini mpaka sasa hawajua chanzo ki wapi. Wanahisi kuwa watoto hao kwa nyakati tofauti wamekula soseji.

Kwa maelezo zaidi kuhusu e.coli, bofya: http://en.wikipedia.org/wiki/Escherichia_coli



No comments: