Friday, November 12, 2010

Virusi kwenye Facebook 


Kama wewe ni mtumizi mkubwa wa Facebook angalia...
Jana kumezuka virusi kwenye Facebook. Kimoja kinaitwa Security Tool. kinakuja na ujumbe ”Hello” Halafu baadaye unapata ujumbe mwingine ”I Got You A Surprise” Hiki kirusi kikishavamia kompyuta yako, ni vigumu kweli kukitoa. Hata kama kompyuta yako ina "anti-virus", hiki kinazuia "anti-virus" kufanya kazi.


Kuwa mwangalifu !!!

No comments: