Saturday, November 20, 2010

Wesley Snipes kusweka lupango



Rufani ya kukataa kulipa kodi ya Wesley Snipes (pichani) imekataliwa na Jaji Terrell Hodge, hivyo mcheza sinema huyo hivi karibuni ataanza kutumikia jela kifungo cha miaka mitatu cha kukataa kulipa kodi kati ya mwaka 1999 hadi 2004. Rufaa hii ni ya baada ya hukumu ya mwaka 2008 ambapo Snipes alihukimiwa kwenda jela miaka mitatu. Kwanza Snipes alikimbilia Afrika Kusini kwa kuogopa kuswekwa lupango na baadaye kukubali kurudi Marekani kwa kuahidiwa kuwa kuwa angeweza kukata rufaa huku akiwa uraiani.

Idara ya Magereza ya Marekani ”Federal Bureau of Prisons” tayari imeshampa Snipes namba ya jela nayo ni: 43355-018. Mpaka sasa haijajulikana lini Wesley Snipes ataanza kutumia kifungo chake.


5 comments:

Anonymous said...

At 65 yrs of age, this must be H. Houdini incarnate! or is he? No mzee you aint Lionel Messi but rather:

http://stimulate-me.com/parties/2010/9-2010/images/AlienSexFiend-DeathTrip.jpg

http://www.selfhelprecovery.com/demonic%20Soul.jpg

http://trashfilmguru.files.wordpress.com/2010/09/fiend21.png

http://trashfilmguru.files.wordpress.com/2010/09/2a0b619009a040e1ca016110_l__sl500_aa300_.jpg

Anonymous said...

Lipa kodi Wesley Snipes, lipa kodi yote kabisa Wesley. Acha agenda na fikra za Mlamba_Nyapu (Mkuuu)

Anonymous said...

Paulo, endelea kulipa MADENI YOTE. Hayo mambo si mchezo, ndio mkono wa nguvu wa serikali onavyo teta. WANATAKA PESA ZAO UNAZOWADAI. "amina"

Anonymous said...

*WARNING ADULT ARCHIVAL COVER*
IS THIS HIGH SELF ESTEEM? WHATEVER THAT MEANS
http://www.imagesbb.org
/images/49Ozark_Sex_Fiend.jpg

Anonymous said...

MFALME MSHENZI NA MPUMBAVU KABISA HUYU. YOU SHOULD BE ASHAME OF YOUSERLF!