Tuesday, December 14, 2010

Mabalozi wa Norway na Sweden
wawasilisha hati zao za utambulisho
kwa Rais Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumatatu, 13.12.2010, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Sweden na Norway katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Waliowasilisha hati zao ni Balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden na Balozi Bi.Ingunn Klepsvik wa Norway.Pichani Balozi Ingunn Klepsvik wa Norway akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete. Picha na Freddy Maro - Ikuluhttp://mawasilianoikulu.blogspot.com/ 

No comments: