Sunday, January 02, 2011

Man Faced Felony Charges For Reading 
His Cheating Wife's Email!
4 comments:

Anonymous said...

Nadhani hii inaweza kuenea duniani kote, japo hii imetokea Marekani. Be aware!

Tausi Usi Ame Makame said...

hay ando matokeo ya kuacha password open...!!!!

Kila mwanandoa anatakiwa awe na siri yake bwana...tusidanganye...Moja wapo ni hii ya password kwenye facebook, e-mails, twitter na vitu vinavyofanana na hivi...

Vinginevyo matatizo yakianza, matokeo yake ndiyo haya!!!

Nuhu Kilimanjaro said...

We should keep passwords for ourselves fellows! This is what will happened if you share password (s) with your spouse and things turns sour!

Anonymous said...

TUKOME KUACHIA KILA KITU KWA TUNAOISHI NAO...