Saturday, January 15, 2011

Mange Kimambi, hii ni kweli?


Mange Kimambi

Hii blog (http://mafisaditanzania.blogspot.com/) siyo ya mambo ya kimbea, ila hili swala nyeti lazima tulizungumzie kama uchafuzi wa kimaadili nchini kwetu. Mange Kimambi siyo jina geni kwa wengi wanaopenda udaku au maswala ya kimbea. Ila kwa sasa Mange anavuma kwenye biashara ya kuwauza wanawake na kuaunganisha na wazungu. Hii makala hapa chini ni ya Mange Mwenyewe akiwafundisha madada namna ya kuwa machangudoa. Najiuliza, huyu Mange ninayesikia kwamba ana binti wa kike, mwanae akikua na kuanza kusoma vitu kama hivi itakuwaje? Hapa chini ni maneno yake mwenyewe, chambueni. Hizi Amri kumi za kusaka wanauma kutoka kwa Mange Kimambi!... hUYU BINTI ANA MATATIZO MAKUBWA,.... HATUCHUJI COMMENT HATA MOJA ANDIKENI KILA KITU DUNIA IJUE MANGE NI NANI, ANATUCHAFULIA NCHI YETU..

Unajua sometimes huwa nasoma comments zenu natamani kuzijibu kama bloggers wengine alafu naacha coz naona nikianza kujibu comment moja nitajikuta naspent the whole day on my lap top nikijibu comments.Wengine mmekuwa mkituma comments sijui I met my hubby in some strip club in Dubai,heehhehe, wengine ooh sijui aliniokota barabarani…lol…

Pia kuna wale wanaotuma mpaka email wananiuliza je waende viwanja gani huko Dubai ili waweze kukutana na wanaume wa maana.Well today I thought nitaongelea hili.
I met my Hubby 31 December 2007, New year’s eve..a year later we were engaged and less that 2 years later we got married…somethings were just meant to be. Yani hizo picha hapo juu ni picha ambazo my hubby and I treasure kwa kweli… that was the very first night we laid eyes on each other….yani the story is so amazing we cant wait to tell it to our children.

Burton was my collegue at Dubai world, and just out of being a gentlemen he invited me and my friend Patricia (who is Kisa’s younger sister, and lives in Abu Dhabu) out to Dinner on New year’s eve. A few hours kabla ya kukutana akatupigia na kutueleza kamualika na rafiki yake mwingine consultant mmoja amabe atakuja na dada yake,

And that was that, we met that evening had dinner a few drinks and 3 weeks later we were inseperable. The moral of the story is kwa wale ambao mnawinda mno na kufafuta wanaume wa kuwaoa msifanye hivyo manake ni kupoteza muda.Kama unataka mwanaume wa MAAANA wa kukuoa fanya yafuatayo.

1. RELAX- STOP SEARCHING
2. LOOK GOOD,LOOK REALLY GOOD
3. HAVE A JOB – (Ucan quit later after he marries you…hahahahahhaha)

4. BE A LITTLE EDUCATED (Siku hizi wanaume wanaona tabu kuoa wanawake ambao hata kidigrii cha kudanganyia hana, I see how proud my hubby is akiwaambia rafiki zake my wife has a bachelor of business administration, atleast I can help our kids with homework..lol)

5. Appear expensinve even if u are not ( ukiaonekana cheap utafatwa na wanaume cheap,ukionekana expensive utafatwa na wanaume wanaojiamini wataweza kuku-maintain…lol)
6. DON’T LOOK OR SEEM DESPERATE

7. NEVER MAKE THE FIRST MOVE( mwanaume anaekutaka atakutongoza yeye mwenyewe huna haja ya kumfata au kumwambia, kama yuko kimya HE IS JUST NOT THAT INTO YOU)

8. LOVE WILL FIND YOU WHE U LEAST EXPECT IT, SO UKIWA OUT ACHA KUPEPESA MACHO MPAKA WANAUME WANAONA KABISA YULE KAJA KUWINDA…LOL)

9. APPEAR DECENT – THIS IS KEY ( nguo za kichangu utavaa ukishakuwa nae, ukiwa single and looking for a guy to marry you achana na skimpy clothes and whorish acts..lol)

10. HANG OUTS – VERY IMPORTANT- sehemu unazotembelea zina determine the kind of person you will meet, night clubs,mabar, not very ideal for meeting someone…lol…mpaka sasa sina rafiki alieniambia alikutana na mume wake club…. GO TO LUNCH AND DINNERS AT 5 Star hotels,weddings,basically hang out at 5 STAR places…

11. BE YOURSELF FROM THE FIRST MOMENT- sio leo kakumeet unaongea,unavaa,unakula,unatembea,unacheka kama beyonce,alafu next week YOU ARE COMPLETELY ANOTHER PERSON.it scares men, kama u are silly and playfull be that from the get go, sio leo u are laid back ,unaongea kwa pozi ,kesho unaongea kama umetiwa betri…lol5 comments:

Anonymous said...

Haa jamani ebu muwe na aibu hii siyo sababu ya kumsingizia binti wa watu kuuza watu kwa wazungu, kwanza a lot of magazines/news papers write such thingz lakini ameandika mange amekua 'pimp'!!
pili hamna mahali anasema how to get 'mzungu' bali anaongelea jinsi ya kupata MUME period!!
hivi ni vitu vya kawaida na watu wanaongeleaga uko kwene vigenge katika kupiga story etc etc
u need to apologise to mange

Tausi Usi Ame Makame said...

Hawa jamaa wa blog hii ifuatayo ndiyo wanapaswa kumwomba samahani..'

http://mafisaditanzania.blogspot.com

Kwani ndyo wanaojiita "Wikileaks" ya Tanzania.

Anonymous said...

Hi, Tanzanians in oslo I know Mange, she is a GOLDDIGGER.Let me speak in Swahili. Huyu mwanamke anaweza fanya lolote ili apate hela, umarufu an jina bongo. To sell your life on a Blog is so Cheap.

Mange huwa anadharau watu wasio na jina , hela au baba zao matajiri. Kumpata huyo mzungu ndo imekua sababu ya kuanzisha blog na kudharau maoenzi ya wabongo na kusema kuwa wazungu wanajua mapenzi, blog nyingi sana zimeandika tabia yake CHAFU. Please let us spread the word kwamba as a woman you do not need a man especially Mzungu akupe a life style ya UTAJIRI..You can make it with a good eduaction and good Tanzanian Man sio lazima mpaka uende Dubai kwenye 5 star hotel that is very, evry low. as Tanzanian Woman I make my own money, live in my own house and proud to date my brothers..hivi hao wazungu wakinona blog ya Mange na picuture za mumeo na mtoto wa Kizungu it is just LOL.
Bless the True African Women PLEASE!!

Anonymous said...

Jamani Ndugu wa Tanzania, watu kama Mange wanatupa sifa mbaya wanawake na tunakuwa kama biashara.
Hao watu wenye blog kama Mange wapaet elimu nini mana ya Blog its to educate not otherwise...

Anonymous said...

Mange ni dada na ni mama inatia huruma kujua kwamba hawezi tumia akili yake bali ni wale wanawake ambao wakipata mzungu ndo wanajiachia pole sana dada kazi mguu na shule!