Sunday, January 30, 2011

Stella Mwangi - Haba Haba Hujaza Kibaba



2 comments:

Anonymous said...

Habari,

Tafadhari naomba kwa yeyote ajuaye maana ya HABA NA HABA HUJAZA KIBABA. Watu wengi waliona huyo dada akiimba basi wakahisi hilo neno ni la kiswahili basi wakaniuliza nimeshindwa kujibu kwa uhakika.

Natanguliza shukrani.
Mdau wa Tønsberg.

Nuhu Kilimanjaro said...

Haba na haba hujaza kibaba tafsiri yake kwa Kiingereza - little by little fills up the measure. Kwa Kinorwejiani ni - Litt etter litt fyller opp tiltaket.