Sunday, January 16, 2011

Udini … Uduni … Udini … Uduni … Udini … Uduni !



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

We mpenzi umenichekesha kweli.  Eti umeenda kununua kofia ya chuma kisha kutafuta vile vidude vya vita kuu ya kwanza kujisetiri na mabomu hayo.  Eti KIPIGO KWANZA kinatawala.  Pole sana, ila uangalie usije ukakosa hewa ndani ya vile vidude mpenzi.




No comments: