Wednesday, June 29, 2011

Mbuzi wakimbia kuchinjwa!


Jana kwenye saa 4 za asubuhi, hawa mbuzi 10 walikuwa wachinjwe kwenye Fastland slakteri maeneo ya Alnabru, Oslo. Kwa kudra za Mungu, wakaweza kutoroka na kuzagaa kwenye maeneo ya Furuseth/Alnabru mjini Oslo. Mpaka sasa hawajapatikana.

No comments: