Thursday, June 23, 2011


Stesheni Kuu Oslo (Oslo S) kufungwa kwa wiki sita!Kuanzia Jumapili 26 Juni 2011 Stesheni Kuu ya treni Oslo (Oslo Central Station) itafungwa kwa ukarabati mkubwa wa wiki sita, hadi Agosti 8. Sehemu kubwa ya stesheni itafungwa. Kuanzia Stesheni Kuu Oslo, wasafiri wakuwa wanasafirishwa kwa mabasi. Kwa maelezo zaidi bofya na soma zaidi (Iko kwa Kinorweji):No comments: