Sunday, July 03, 2011

David Hayes adundwa kwa pointi na Vladimir Klitsjko


Mwingereza bondia wa ngumi za uzito wa juu David Hayes, ameshindwa kuhimili mikiki ya bondia Vladimir Klitsjko wa Ukraina na kushindwa kwa pointi. Pambano hilo lilienda hadi raundi ya 12 na baada ya pambano, mabondia wote wawili walionyoosha mikono juu hadi pale uamuzi wa majaji ulipotolewa kuwa Klitsjko kashinda.

No comments: