Monday, July 18, 2011

Japan mabingwa wa soka la wanawake duniani


Frankfurt, Ujerumani - Jana Japan wameweka historia kwa kuwa nchi ya kwanza kutoka Asia kuwa mabingwa wa soka la wanawake duniani, baada ya kuwafunga Marekani kwa magoli 3-1kwa penalti. Hadi dakika 120 za fainali hizo, matokeo yalikuwa 2-2.

No comments: