Friday, July 01, 2011


Likizo ya watu wote (fellesferie) yaanza rasmi leo


Likizo za watu kijumla hapa Norway (fellesferie) imeanza rasmi leo Julai Mosi hadi Julai 31. Wengi  tuko katika pilikapilika za kutafuta sehemu za kwenda kwenye likizo hii. Wengi wanasafiri au wameshasafiri kwenda nje ya Norway, na wengi pia watatumia likizo zao hapa hapa nchini. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wao walianza wiki moja iliyopita na shule za msingi na sekondari zinafunguliwa 22.Agosti


No comments: