Friday, July 01, 2011

Wasio na makaratasi wana haki ya matibabu ya dharura.


Waziri wa afya wa Norway, Bi. Anne-Grete Strøm-Erichsen, amesema kuwa watu wazima na watoto wasio na vibali vya kuishi hapa Norway, wana haki ya matibabu ya dharura.


Chanzo: Shirika la habari la Norway (NTB)

No comments: