Monday, July 11, 2011

Rais Jakaya Kikwete na Mfalme Otumfuo Osei Tutu II wa Ashanti, Ghana.

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na mgeni wake Mfalme Otumfuo Osei Tutu II wa Ashanti,Ghana baada ya kufanya naye mazungumzo na kumpa zawadi ya vazi alilovaa Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na John Lukuwi.

No comments: