Tuesday, July 12, 2011

Watafiti wa Kitanzania wagundua dawa ya mbu – soksi chafu zinazotoa harufu!!
Watafiti  wa Kitanzania, wakiongozwa na Dk. Fredos Okumu wanaofanya kwenye taasisi ya afya Ifakara (Ifakara Health Institute),  wamefanya utafiti wa dawa ya mbu na wamegundua kuwa mbu wanavutiwa na harufu ya kunuka ya soksi chafu na hufa hapo hapo wanapokaribia harufu hiyo!.

Watafiti hao wamepata "scholarships" za Bill & Melinda Gates Foundations na Grand Chellenges Canada (GCC) kwenda kufanya utafiti zaidi juu ya ugunduzi wao!

1 comment:

Anonymous said...

Huh!