Saturday, August 06, 2011

Bila uchungu wa rungu, hatuendelei

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.


Mpenzi Frank,

Wewe! Naona kupigwa na hawa maFanya Fujo kumekuzidishia ufyatu. Eti unafika usiku kwa wanene wa nchi hii na kutaka kuingia nyumbani kwao. We nani teh teh teh.
Bahati yako hukupigwa tena na maFF maana hawana simile. Wanaweza kumpiga mtu yeyote wakati wowote. Hapana. Nasahihisha kauli. Hawawapigi wenye nchi, ni wananchi tu. Najua ulikasirika kunyimwa kuingia kumwona Hidaya wako lakini ushukuru kwamba mlinzi alikustahi maana angeita tu … ungekula mkongo’to mwingine na uchungu wa selo juu. 

Bofya na endelea kusoma: Bila rungu hatuendelei..


No comments: