Friday, August 19, 2011

Soka la Tanzania ulimwenguni!

Hii imetoka kwenye http://soccernet.espn.go.com kuhusu mechi ya juzi kati ya Simba na Yanga, ambapo mnyama wa Mtaa wa Msimbazi (Simba) alikula nyasi za Yanga kwa magoli 2-0 na kuchukua kombe la ngao ya hisani. Picha na Francis Dande.

 Young Africans (Yanga) - "Daima Mbele Nyuma Mwiko"

Simba Sports Club (SSC) - "Nguvu Moja"

No comments: