Monday, September 12, 2011

Kapteni wa MV. Spice Islander asimulia meli ilivyozamaKatika mazungumzo yake na MTANZANIA   katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzíbar jana   baharia huyo  alisema abiria wengi walikufa  kutokana na uzembe.

Baharia huyo aliyelazwa hospitalini hapo, alisema   iwapo kama waokoaji wangewasili mapema eneo la tukio baada ya kupata taarifa, abiria wengi wangeokolewa kwa kuwa
ulikuwa na sababu za kuwaokoa.

”Ajali ni ajali, lakini kwa hii ya kwetu nasema wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya uzembe wa wahusika.

“Lakini, hayo tuyaache  kwa sababu yameshatokea, nakumbuka wakati….bofya na endelea>>>>>


No comments: