Saturday, September 03, 2011


Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, (pichani)mwishoni mwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kufanyiwa upekuzi kabla ya kufikishwa Kituo cha Polisi cha Kinondoni Moscow, Dar akiwa na mwanaye, Naomi akituhumiwa kuuza na kutumia madawa ya kulevya. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, tukio hilo lilitokea Agosti 27, mwaka huu, saa 10:00 jioni nyumbani kwake Kinondoni Moscow, jijini Dar es Salaam….bofya na soma zaidi>>>>>

2 comments:

Anonymous said...

Polisi wa Tanzania, TAKUKURU, Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence & Security Service = TISS) wanafiki wakubwa. Wanawajua fika mapapa yanaoingiza madawa ya kulevya...wanashindwa kuwakamata. Wanakamata dagaa vibua kama kina Aisha Madinda. Kama si unafiki ni nini? Hizo taasisi zimeshindwa kuwakamata wanaohusika na EPA, Richmond, Dowans na wanaoingiza wakimbizi kinyemela...zivunjwe na ziundwe upya!

Tausi Usi Ame Makame said...

Polisi wana haki ya kumkamata kama kweliwana taarifa za kiintelejentsia kuwa anahusika na kuuza madawa ya klevya. Lakini hizo taasisi ni laanakum wallahi! Wangeanzia na mapapa kwanza kabla ya kuwakamata dagaa vibua!