Sunday, September 11, 2011

Rambirambi kwa ndugu zetu wafiwa katika ajali ya meli Zanzibar

TUNATOA SALAMU ZETU ZA POLE KWA WATANZANIA WOTE, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWA KUFIKWA NA MSIBA MKUBWA HUU WA KUZAMA KWA MELI YA MV.SPICE ISLANDER AMBAO UMEPOTEZA MAISHA YA MAMIA YA WATU NA KUWAACHA WENGINE MAJERUHI.

TUNAWAOMBEA MAJERUHI WOTE KWA ALLAH WAPONE KWA HARAKA,

PIA MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI WALE WOTE WALIOFARIKI KATIKA AJALI HIYO.AMIIN.

TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISIONUTAWALA

No comments: