Monday, September 26, 2011

Tangazo la msiba Oslo/Nesodden.


Mwenyekiti wa Chama Cha Watanzania Oslo, Dr. Tito Sendeu Tenga anasikitika kutangaza kifo cha Abraham Jengo, mtoto wa Raphael Jengo wa Nessoden, Akershus, Norway.

Mazishi yatafanyika Ijumaa, 30 Septemba 2011 saa 7 mchana (13:00 CET) kwenye kanisa la Nesodden.

Tutazidi kutoa habari zaidi za kuhusu  mazishi ya kijana huyo kwenye blogu, facebook na twitter.

Wenu, 
Chama Cha Watanzania Oslo.

1 comment:

Anonymous said...

Jamani poleni wote ndugu jamaa na marafiki. Tujumuikw wengi tushirikiane. Je kuna uwezekano wa kuweka picha yake hapa?