Tuesday, October 18, 2011Je, wanaume waliotahiriwa wana matatizo
kwenye masuala ya ngono?


Ashakum si matusi; Wahenga walisema.
Mada hii hapo chini inaweza kuchukiza au kukasirisha watu wengine. Kwa wote watakaochukizwa na kukasirishwa na mada hii, natoa samahani. Ni mada muhimu kwa wataalamu na wale wote inaowagusa.

na Mwamedi Semboja, Oslo.


Reform, ressursenter for menn (RSM/Reform and Resource Centre for Men) wanafananisha kutahiriwa kwa watoto wa kiume na kuketwa kwa watoto wa kike kwenye ripoti yao juu ya mada hii waliyoiwasilisha kwenye wizara ya afya. 

Kutahiriwa kwa watoto wasichana ni marufuku hapa Norway, baadhi ya wazazi huchukua mabinti zao na kwenda nao huko walikotoka na kuwatahiri huku wakijua fika ni marufuku kisheria na wanafanya hivyo wakijua fika kuwa wanaweza kupigwa faini, kifungo au vyote viwili, pindi inapojulikana.


RSM wanalinganisha kukeketwa kwa wasichana na kutahiriwa kwa watoto wa kiume. Pamoja na kuwa kutahiriwa kwa watoto wa kiume kumepigwa marufuku kufanyika kienyeji kunafanyika kitaalamu na kwa gharama za wazazi, RSM wanataka na wanapendekeza kwa wizara ya afya ya Norway kuwa, hata kutahiriwa kwa watoto wa kiume kupigwe marufuku hata hiyo inayofanyika kitaalamu. RSM wanasema watu wanaotahiri watoto wa kiume wanafanya hivyo kwa lengo la kuendeleza mila, desturi na tamaduni za huko walikotoka.

RSM wasema hivyo, kufuatia Utafiti alioufanya profesa Morten Frisch (pichani) (Statens Serum Institutt i København = in English). Utafiti wa Frisch unasema kuwa wanaume waliotahiriwa wameathirika mara tatu na kuwa hawafaidi inapokuja kwenye masuala ya ngono. 

Tanbihi: Sijui huyu profesa Frisch alifanya utafiti kwa wanaume wangapi? Wa nchi zipi?  Manaake inaonekana ni utafiti finyu wenye lengo la kisiasa zaidi ya kitaalamu.

11 comments:

Anonymous said...

Huyu Frisch sijui aliupataje huo uprofesa!

Aliyetahiriwa said...

Ah...utawaweza hawa jamaa? Wakitaka kuhalalisha kitu watatafuta kila sababu ili wahalalishe. Kwanza watoto zetu wa kiume walikuwa wanatahiriwa bure hapa Norway. Mhh ikawauma hao hao wenye huo msimamo. Wakapiga kelele weee...serikali ya mseto wa kihafidhina...wakasema OK watoto wa kiume wanaweza kutahiriwa lakini gharama juu ya wazazi. Hawajachoka...wanapiga tena kelele ili hata hiyo tunayolipia iondolewwe kwa kuwa na backup na utafiti wa kimachale machale...Eti..wanaume waliotahiriwa hawasikii raha kwenye ngono...shenzi taipu! Wawaulizie wanawae wao kwa nini wakitiwa na brothers hawataki kuwaachia? Na brothers wengi wametahiriwa. Kwa nini? Wanaona gere!!!

Mtambalike said...

Aliyetahiriwa..umenena. Wanawake wao ukiwapata watakung´ang´ania kama luba!

Mpiga Mikasi said...

Huyo profesa amlete binti yake kwangu nimshughulikie ipasavyo. Nitampiga katerero...mpaka atasahau babake anaitwa nani na anatoka wapi. Aache ujinga

Mkata Mbuga said...

MWANGALIE HUYO PROFESA HATA SURA YAKE IMEKAA UBAYA UBWELA TU! HUO UTAFITI WAKE NI WA KISIASA HUO

Anonymous said...

Mpiga Mikasi mimi simtaki mtoto wake manaake hataona uchungu sana. Mimi namtaka mkewe...nimpe mto... o wa kutosha akamsimulie mumewe.... Mkewe ndo atampa ushahidi!!!

Profesa hajui kuwa kutahirihiwa au kutokutahiriwa si kigezo cha kugumu ngono.

Ni ufundi tu wa mtu binafsi...

NIMETAHIRIWA said...

POLENI MLIOKO NORWAY. HAO JAMAA WATAFUTA NJIA ZA KUZUIA KUTAHIRI WATOTO WA KIUME...HAWANA LOLOTE

Anonymous said...

Huo utafiti kaufanya kwa wazungu wenzake! Wazungu wengi wanaume wana matatizo ya kusimamisha!

Umsolopaagaz said...

KUTAHIRIWA AU KUTOKUTAHIRIWA HILO SI SUALA. SUALA MTU ANAWEZA KUT....ANA? HILI SUALA LINATEGEMEA UJUZI NA PSYCHI YA MTU NA SIO HUKO CHINI KUKOJE. HUYO PROFESA UTAFITI WAKE NI WA KISIASA.

Anonymous said...

Nakubaliana na Umsloopaagas..ufundi wa mwanamme kwenye masuala ya ngono hautegemei kama ametahiriwa au la! Unategemea kalufundi ka mwanamme!

Mkereketwa said...

DUH! MNAOKAA HUKO NORWAY (OR NORDIC COUNTRIES) MNA KAZI. KILA KITU KIGENI WASICHOKUBALIANA NACHO WANAKIFANYIA UTAFITI ILI WAPIGE KELELE NA KIPIGWE MARUFUKU. WAKIJA KWETU WANAFANYA KILA WANALOTAKA........................................................