Je, wanaume waliotahiriwa wana matatizo
kwenye masuala ya ngono?
Ashakum si matusi; Wahenga walisema.
Mada hii hapo chini inaweza kuchukiza
au kukasirisha watu wengine. Kwa wote watakaochukizwa na kukasirishwa na mada
hii, natoa samahani. Ni mada muhimu kwa wataalamu na wale wote inaowagusa.
na Mwamedi Semboja, Oslo.
Reform, ressursenter for menn (RSM/Reform and Resource Centre for Men) wanafananisha kutahiriwa kwa watoto wa kiume na kuketwa kwa watoto wa kike kwenye ripoti yao juu ya mada hii waliyoiwasilisha kwenye wizara ya afya.
Kutahiriwa kwa watoto wasichana ni marufuku hapa Norway, baadhi ya wazazi huchukua mabinti zao na kwenda nao huko walikotoka na kuwatahiri huku wakijua fika ni marufuku kisheria na wanafanya hivyo wakijua fika kuwa wanaweza kupigwa faini, kifungo au vyote viwili, pindi inapojulikana.

RSM wasema hivyo, kufuatia Utafiti alioufanya profesa Morten Frisch (pichani) (Statens Serum Institutt i København = in English). Utafiti wa Frisch unasema kuwa wanaume waliotahiriwa wameathirika mara tatu na kuwa hawafaidi inapokuja kwenye masuala ya ngono.
Tanbihi: Sijui huyu profesa
Frisch alifanya utafiti kwa wanaume wangapi? Wa nchi zipi? Manaake inaonekana ni utafiti finyu wenye
lengo la kisiasa zaidi ya kitaalamu.
Hadidu za rejea: Mannlig
omskjæring = forhudsamputering?
11 comments:
Huyu Frisch sijui aliupataje huo uprofesa!
Ah...utawaweza hawa jamaa? Wakitaka kuhalalisha kitu watatafuta kila sababu ili wahalalishe. Kwanza watoto zetu wa kiume walikuwa wanatahiriwa bure hapa Norway. Mhh ikawauma hao hao wenye huo msimamo. Wakapiga kelele weee...serikali ya mseto wa kihafidhina...wakasema OK watoto wa kiume wanaweza kutahiriwa lakini gharama juu ya wazazi. Hawajachoka...wanapiga tena kelele ili hata hiyo tunayolipia iondolewwe kwa kuwa na backup na utafiti wa kimachale machale...Eti..wanaume waliotahiriwa hawasikii raha kwenye ngono...shenzi taipu! Wawaulizie wanawae wao kwa nini wakitiwa na brothers hawataki kuwaachia? Na brothers wengi wametahiriwa. Kwa nini? Wanaona gere!!!
Aliyetahiriwa..umenena. Wanawake wao ukiwapata watakung´ang´ania kama luba!
Huyo profesa amlete binti yake kwangu nimshughulikie ipasavyo. Nitampiga katerero...mpaka atasahau babake anaitwa nani na anatoka wapi. Aache ujinga
MWANGALIE HUYO PROFESA HATA SURA YAKE IMEKAA UBAYA UBWELA TU! HUO UTAFITI WAKE NI WA KISIASA HUO
Mpiga Mikasi mimi simtaki mtoto wake manaake hataona uchungu sana. Mimi namtaka mkewe...nimpe mto... o wa kutosha akamsimulie mumewe.... Mkewe ndo atampa ushahidi!!!
Profesa hajui kuwa kutahirihiwa au kutokutahiriwa si kigezo cha kugumu ngono.
Ni ufundi tu wa mtu binafsi...
POLENI MLIOKO NORWAY. HAO JAMAA WATAFUTA NJIA ZA KUZUIA KUTAHIRI WATOTO WA KIUME...HAWANA LOLOTE
Huo utafiti kaufanya kwa wazungu wenzake! Wazungu wengi wanaume wana matatizo ya kusimamisha!
KUTAHIRIWA AU KUTOKUTAHIRIWA HILO SI SUALA. SUALA MTU ANAWEZA KUT....ANA? HILI SUALA LINATEGEMEA UJUZI NA PSYCHI YA MTU NA SIO HUKO CHINI KUKOJE. HUYO PROFESA UTAFITI WAKE NI WA KISIASA.
Nakubaliana na Umsloopaagas..ufundi wa mwanamme kwenye masuala ya ngono hautegemei kama ametahiriwa au la! Unategemea kalufundi ka mwanamme!
DUH! MNAOKAA HUKO NORWAY (OR NORDIC COUNTRIES) MNA KAZI. KILA KITU KIGENI WASICHOKUBALIANA NACHO WANAKIFANYIA UTAFITI ILI WAPIGE KELELE NA KIPIGWE MARUFUKU. WAKIJA KWETU WANAFANYA KILA WANALOTAKA........................................................
Post a Comment