Rais
Yoweri Kaguta Museveni ziarani Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto)
akimkaribisha Rais wa Uganda Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia) leo
jijini Dar es salaam mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya siku moja ya
kikazi nchini Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere leo mchana kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Said Mwema (kushoto) akisalimiana na
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni leo jijini Dar es salaam mara baada ya
kuwasili kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi nchini Tanzania. Katikati ya Museveni na Mwema ni mkuu wa majeshi (JWTZ), Jenerali Davis Mwamunyange.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni muda mfupi kabla ya
kuanza mazungumzo ikulu jijini Dare s Salaam leo mchana. Picha na na Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es
Salaam na Freddy Maro-IKULU.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni muda mfupi kabla ya
kuanza mazungumzo ikulu jijini Dare s Salaam leo mchana. Picha na na Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es
Salaam na Freddy Maro-IKULU.
No comments:
Post a Comment