Tuesday, November 22, 2011

Anayesema Kiswahili hakina misamiati au hakiwezi kutumika kwenye sayansi na teknolojia ni nani? Google kwa kujua wanaozungumza Kiswahili ni wengi (i.e. soko ni kubwa), wameamua kutohozi misamiati mipya na kikitumia. Wanatusaidia kukikuza!!!1 comment:

Ubaya Ubwela said...

Hii safiii. Inazima midomo ya watu wanaodhani ni Kiingereza pekee ndicho kinachoweza kutumika kwenye ya utandawazi wa sayansi na teknolojia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!