Friday, November 04, 2011

Tamko la Serikali kuhusu masharti
ya misaada na ngono jinsia moja
(homosexuality)

Mh.Bernard Kamilius Membe, Waziri wa 
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

 
"Nchi yetu inaheshimu sheria na utamaduni wake. Hatupo tayari nchi nyingine kutuwekea masharti ya kuwa na uhusiano wa jinsia moja. Hili ni tamko hatarishi linaloweza kuvunja uhusiano na nchi nyingine. Miongoni mwa nchi 54 za Jumuiya ya Madola kati yake nchi 13 ushoga ni sehemu ya katiba yao wakati 41 hazina utamaduni huo hivyo msimamo wa Tanzania ni kuwa na ndoa za jinsia mbili tofauti, kinyume na hapo unafungwa kifungo cha miaka 30. Nchi yetu haiwezi kuyumbishwa na masharti ya aina hii na kamwe hatutaruhusu kuingiliwa na nchi nyingine."(Mh.Bernard Kamilius Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)

Chanzo: Twitter
Jakaya Kikwete (@jmkikwete
 

5 comments:

Anonymous said...

Hivi kuna mashoga wangapi wanajulikana na kutembea nchini Tanzania? Mbona hawafungwi kwa ushoga au ubasha wao?

TAMBRINA said...

Sheria hiyo ipo Tanzania kweli. Lakini haitumiki. Sasa sijui Mheshimiwa Waziri Membe ameitaja hiyo sheria kama ipo tu kwenye mabuku na hautumiki? Mambo mangapi ya uovu unafanyika nchini na hawatoi matamko ya kuyapinga uwazi uwazi? Mbona kumeuwa na hata mawaziri na wakubwa wengine nchini ambao walikuwa au ni wasenge na mabasha na hatukusikia au kusikia kuwa wamefungwa kwa hiko kipengele ca sheria`?

Ubaya Ubwela said...

Vitabu vya dini vinalaani ngono jinsia moja. Lakini vitendo hivo vinafanyika usiku na mchana duniani kote!!!! No exception for Tanzania!!!!

Kwenye majela Tanzania watu wanafir....a kama mchezo.

Uraiani wasenge na mabasha kibao. Wasaganaji ndo usiseme.

Ndivyo dunia ilivyo.

Vitendo hivyo haviwezi kuachwa labda mpaka dunia iishe.

Membe hakukosea kusema kuwa Tanzania haitapokea misaada kwa masharti.

Lakini basi wasiishie kwenye misaada tu...

Walaani na vitendo vingine vya uovu vinavyotokea Tanzania kuanzia kwao wenyewe hadi walalahoi.

Anonymous said...

Ahsante sana Membe, hapo umenena! Hawa mabarazuli wa Uingereza wanataka kutufanya wanaume wote wa afrika tuwe mashoga!!! Baadae watasema ili nchi ipate msaada lazima rais wake awe shoga...halafu watasema,wanaume wote wa Tanzania lazima tukubali kufi****¤&rwa na hao mashoga wa UK ili tupate msaada! Upuuzi huu. Bora kufa na njaa kuliko kukubali upuuzi wao huo. Wao wanaume wazima, tena wengine wabunge na mawaziri na suti na tai zao wanavuja mavi tu,(maana washakatana ringi za mavutu)

Anonymous said...

Tatizo la serikali ya Tanzania wansaini makaratasi bila kuyasoma. Katika haki za binadamu Tanzania imesaini haki hizo kupitia umoja wa Mataifa. Na ndani ya mkataba huo kuna haki za mashoga na wasagaji. Cha kushangaza Tanzania imesaini hilo! sasa wapi na wapi Mkuu Membe?! Kujipiga risasi mguuni!! Kweli sisi watanzania ni wajinga kutoka juu hadi chini!!