Friday, December 02, 2011

"Mi´Mmasai bwana" afariki dunia


Aliyekuwa mmiliki na producer wa Motika Records na Mwanamuziki wa kwanza aliekuwa akiimba nyimbo zake kwa miondoko ya kabila la Kimasai, Abel Motika au kwa jina la kisanii, Mr.Ebbo (pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda kidogo huko mkoani Tanga alikokuwa anaishi. Mr. Ebbo katika uhai wake alitamba na nyimbo kama Mimi Mmasai, Kamongo, Boda Boda na nyingine nyingi.

Mwenyezi Munge Amweke Pema.

-Amin.

1 comment:

jaylen watkins said...

Good strong Man with shinning teeth.

Cv template