Tuesday, December 20, 2011

Phishing e-mail in Swahili!!Jamani hawa jamaa hawachoki? Hivi bado watu ambao mpaka leo wanatapeliwa na hawa jamaa na barua zao hizi? Angalia lugha yenyewe ilivyo? Wametumia Google Translate kutafsiri, angalia lugha ilivyo finyu?

“...ni wewe katika fujo ya kifedha, umejaribu mabenki na umekuwa ukageuka chini...” inachekesha!Je, unahitaji mkopo?From: Richard James <richardjamesloancompany1@gmail.com >
To: undisclosed-recipients:
Date: 20.12.2011 04:26
Subject: Je, unahitaji mkopo?


Je, unahitaji mkopo? ni wewe katika fujo ya kifedha, umejaribu mabenki na umekuwa akageuka chini, sisi kutoa kila aina ya mkopo kwa watu binafsi kutoka duniani kote katika sarafu tofauti, kwa habari zaidi juu ya mkopo wetu wasiliana nasi kupitia email:

Richard James

* Read about phishing: http://en.wikipedia.org/wiki/Phishing 

No comments: