Saturday, December 17, 2011

Usalama wa taifa Norway unahofia wageni waishio bila makaratasi au wanaoishi kwa pasipoti batili

PST: Utlendinger med falske pass stor sikkerhetsrisiko


Idara ya usalama wa taifa ya Norway (PST) inahofia wageni wenye vitambulisho na pasi batili za kigeni kuwa ni tishio kwa usalama wa Norway, na kuwa wanaweza kufanya vitendo vya kigaidi au uhalifu wa hali ya juu. PST inadhani kuwa kuna wageni maelfu wanaishi Norway bila kuwa na makaratasi au wanaishi kwa vitambulisho na pasi batili kutoka huko walikotoka.

(VG Nett) Politiets Sikkerhetstjeneste (PST) frykter utlendinger med falske pass kan begå terrorhandlinger eller alvorlig kriminalitet. Flere tusen mennesker antas å befinne seg i landet ulovlig eller med falske papirer…


No comments: