Thursday, January 19, 2012Jamaa msikitini na panga


Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa, watu kimya, nani mwislamu hapa??

Halafu akamchukua moja nje na kumwomba amchinjie mbuzi. Halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena.

Nani mwislamu hapa? Waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu.

Imam akasema"jamani mi kuswalisha siku mbili ndo mniite mwislamu? Mi hapa najifunza"

Halafu jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi

No comments: