Saturday, January 07, 2012


TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO...


1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba
2. Graduate msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza
3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
4. Acheni wivu wa kike – Msekwa
5. Asieweza lipa nauli apige mbizi – Magufuli
6. Baada ya kutumia helcopter ya jeshi kwenda nayo kwao urambo - mlitaka   nipande punda – Kapuya
7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio - Masabuli
9. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua - Wassira
10. Kila mwananchi atabeba msalaba wake – Mkulo

RESERVE:
1. Baada ya kugundulika akaunti yake ya ina mihela – ah.. vile vijisenti tu! – Chenge
2. Ukitaka kula lazima uliwe - JK
3. wanafunzi kupata mimba viherehere vyao - JK

Keep Well and Kind Regards

------------------------
D C George
Cell: +31641998601
SKYPE:damiancgeorge

Imenyofolewa kutoka Tanzanet Mailing List: http://www.tanzanet.org

No comments: