Kwa nini uraia wa Tanzania unatolewa
kama njugu?
TUMELAZIMIKA leo
kuzungumzia suala la utoaji holela wa uraia wa Tanzania kutokana na mambo
mawili makubwa. Kwanza, ni utamaduni wa Serikali ambao unaendelea kushika kasi
hadi hivi sasa wa kuwapa wageni uraia wa Tanzania kama vile nchi yetu haina
mwenyewe. Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo viongozi wake hawajui thamani
ya uraia, pengine kutokana na historia ya nchi kuwa kisima cha amani ambako
wakimbizi kutoka sehemu nyingi duniani walikimbilia kutafuta hifadhi. ...
No comments:
Post a Comment