Thursday, March 01, 2012

2 comments:

Tausi Usi Ame Makame said...

Mbona kichwa cha habari hakielewiki?

Kwanza: Nesi feki abambwa

Pili: akutwa maabara akipima wagonjwa, yadaiwa hana cheti cha udaktari.

Toka lini nesi akawa na cheti cha udaktari?

Nesi wana vyao na madaktari wana vyao.

Hivi haya magazeti ya udaku yanashindwaje kufanya uhariri kabla ya kuchapisha gazeti?

Yanafanya mtu unakuwa na mashaka na habari wanazoandika, japo mara nyingi ni za kweli.

Dotto Mokili said...

Swadakta Tausi, umenena...wapashe haoooooooooooo!!!!!!!!!!