Monday, April 09, 2012


RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA STEVEN KANUMBA NA WATANZANIA KWA UJUMLA


TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION INATOA RAMBIRAMBI ZAKE KWA FAMILIA YA MSANII WA FILAMU STEVEN KANUMBA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA MSIBA MKUBWA ULIOTUKUTA.KIFO CHA STEVEN KANUMBA KIMEWAGUSA WASANII WOTE WA FANI MBALIMMBALI NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.

TUNAOMBA KWA PAMOJA MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MWENZETU STEVEN KANUMBA
AMEEN

TMTV
UTAWALA.
www.tmtv.co.tz

No comments: