Monday, April 09, 2012


Tangazo kwa Watanzania wanaojua kuimba kutoka kwa Alex Kajumulo


TANGAZO KWA WATANZANIA NITATUMIA FACEBOOK KUTOA NAFASI NATAFUTA WAIMBAJI KATI YA MIAKA 18 MPAKA 25 MMOJA WA KIUME ANAYE WEZI KUIMBA NA KURAPU NA WAKIKE ANAYE WEZA KUIMBA WOTE WAWE WANAJUA KUIMBA KINGERAZA NA KISWAHILI NA WAWE NA PASIPOTI, WANAWEZA KUTOMA SAUTI ZAO KUTUMIA

EMAIL

SAUTI ZAO ZIWE ZA UKWELI WAIMBE WIMBO WA ZUWENA WA MARIJANI RAJABU NATAKA KUWA SAIDIA WANAMZIKI WA NYUMBANI KUJA KFANYA KAZI NA MIMI KAMA NILIVYOMLETA HUKU MTOTO WA DANDU KOOL JAMES NAITAJI KABLA YA MWISHO WA MWEZI WA TANO NITAKAYE MCHAGUA NITAMLIPIA TIKETI YA KUJA HUKU NA KUMDHAMINI VIZA YA KUFANYA KAZI YA MZIKI USA OK KAZI HIYO HAPO ATAKAYE WEZA NA NINACHANGUA MIMI MWENYEWE..

No comments: