Wednesday, June 06, 2012


  
Mgomo Manispaa ya Oslo umeisha!

Mgomo wa wafanyakazi wa Manispaa ya Oslo (Oslo Kommune) uliokuwa unaendelea umeisha na wafanyakazi waliokuwa kwenye mgomo wakiwemo baadhi ya waalimu wanarudi makazi kuanzia asubuhi.

Wafanyakazi na waajiri wamekubaliana nyongeza ya mshahara kroner 10 750,- kwa mwaka kuanzia Mei Mosi mwaka huu.

No comments: