Monday, July 16, 2012

Nkosazana Dlamini-Zuma; katibu mkuu mpya wa Umoja wa Afrika na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo.

Waziri wa mambo ya ndani wa Afrika ya Kusini na mke wa zamani wa Jacob Zuma (Rais wa Afrika Kusini); Nkosazana Dlamini-Zuma amechaguliwa jana kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Afrika. Nkosazana anakuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo. Nkosazana Dlamini-Zuma amemshinda aliyekuwa katibu Jean Ping wa Gabon. Ilibidi zipigwe kura mara tatu ili kumpata mshindi.

No comments: