Sunday, July 15, 2012

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na Aliko Dangote, mwekezaji toka Naijeria


Waziri Mkuu Mhe  Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko Dangote  (kulia) ambaye anakusudia kujenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2012.Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dr. Ishaya  Manjabu. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments: