Wednesday, July 04, 2012

Polisi wanaomba msaada

Mwanamke mwenye asili ya Tanzania anatafutwa, ametoweka nyumbani kwake tangu Jumatatu 

Kabonga Mohammed.

Huyu ndiye dada wa Kitanzania aliyepotea toka Jumatatu hajaonekana mpaka leo. Bado anatafutwa! Polisi wanaomba msaada wa wananchi kwa yeyote anayefahamu lolote kuhusu huyu dada.

Bofya na soma zaidi: Ber om tips om savnet kvinne 


1 comment:

MBOGELA, Jackson said...

jamani Mbona hakuna comment kwenye hii post? Hii inamaanisha kuwa watanzania waliopo Norway huwa hawapiti hapa? Huyu Dada jamani Sio Dada Lilian??