Wednesday, August 22, 2012


Ununuzi wa ubalozi Italia: Sheria inapotetea ufisadi


INASTAAJABISHA! Na wakati mwingine ukiisoma hukumu ya kesi iliyokuwa inawakabili waliokuwa wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania jijini Rome, Italia inatia “kichefuchefu” na hata kuonesha upungufu wa weledi wa sheria!

Kumbe, sheria inaweza kutumika kuhukumu penye ushahidi kwa mujibu wa mashitaka, siyo?! Kama ndiyo; basi, kuna uwezekano mkubwa sehemu kubwa ya wanaotiwa hatiani wakawa hawana hatia na wale wanaochwa huru kwa kukosa ule unaoitwa ushahidi usiokuwa na shaka wakawa na hatia.....

Bofya na soma zaidi: Tanzania Daima

No comments: