Friday, March 22, 2013

Serikali yatakiwa kusikiliza kilio cha MOAT kuruhusu mfumo wa analojiaTaasisi ya raia ya haki za kisiasa na mwenendo wa bunge Tanzania,imeitaka serikali kusikiliza kilio cha wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania -MOAT, kuruhusu urushaji wa mawimbi ya analojia,kwenda sambamba na dijitali,ili kuwapa wanainchi fursa ya kupata taarifa sahihi toka kwa vyombo vya habari.


No comments: